Karua asema kujiuzulu kwa ECK ni bure Waziri wa Sheria na Katiba Martha Karua amesema kujiuzulu kwa makamishna wa tume ya uchaguzi nchini ECK hakutasaidia lolote iwapo miundo msingi ya uchaguzi na shughuli za kisiasa haitobadilishwa Karua alisema udanganyifu kwenye uchaguzi unatokana na upungufu katika miundo msingi ya uchaguzi na shugh Tags : KaruaasemakujiuzulukwaECKniburekenyaelectionskriegler Views : 502 This video added by standardgroupkenya .